Hawa jamaa kuna namna hapo. Isije ikawa kuna pesa za wafadhili hapo.
Kenya ni Nchi masikini sana ikilinganishwa na USA. Iweje walipwe zaidi ya USA Senator?
Nadhani wana Wabunge kama 207 au zaidi ina maana in 5 years watalipwa karibu USD 250 Millions.
Sijui ni lini viongozi wetu wa Africa wataacha kuangalia maslahi yao binafsi wakati wananchi wao wanakufa kwa njaa, kukosa matibabu, elimu duni nk.
1.2 million Kenyan shillings per month for 222 MPs is around 3.2 billion Kenya shillings per year. With a national budget of 600 billion shillings thats like 0.005% of the budget. unafikiri sisi ni maskini kama nyinyi? Yea watu north eastern wanakufa njaa but in Trans Nzoia wakulima bado wana mamilioni ya magunia ya mahindi wanangoja bei ipande.

Below is a Kenyan MPs total salary per month
Basic salary = KSh. 395,000
A minimum commuted mileage = KSh. 75,000
Entertainment allowance = KSh. 60,000
Extraneous allowance = KSh. 30,000
House allowance = KSh. 70,000
Monthly car maintenance allowance = KSh. 247,000.
Gym membership allowance = KSh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = KSh. 336,000
Committee meeting allowance = KSh. 40,000
Constituency allowance = KSh. 50,000
TOTAL TAX FREE = KSh. 1,242, 2000
= $17,742 per month
Per year each MP earn = $212,904 per year
EXTRAS:
Car loan = KSh 3.3 Million
House loan = KSh 10 million
COMPARE THIS WITH A US SENATOR SALARY
USA senator's salary = $165,000/year
= $13,750 per month