Mishahara ya serikari!

KZJ

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
45
Reaction score
2
Ndugu wana jamii napenda kujua mshahara wa TGS C ni shilingi ngapi? asanteni
 
Ndugu wana jamii napenda kujua mshahara wa TGS C ni shilingi ngapi? asanteni

Serikali yetu sijui kwanini issue za mishahara inakuwa ni SIRI, kwa watumishi wa umma? ama kwa ajili umma bado umelala?
inakera sana hata mshahara wa rais kuwa ni siri, kwa mawazir na wabunge ndio kabsaaaa

Hapo Kenya tu, kila kitu ni wazi, Very open...
 
Reactions: KZJ
We should fight for transparency!
 
Reactions: KZJ
Kuna document tulishaweka humu kuhu mishahara ya serikali kuu, tamisemi na idara na vitengo vya serikali. Tafuta kwenye 'search' hapo juu.
 
TGSC[SUB]1[/SUB]=309,800/=TGSC[SUB]2[/SUB]=317400 na TGSC[SUB]3[/SUB]=325,000/=Hiyo ni basic ambayo haina makato,ukitoa makato hamna kitu.
 
Serikalini wenye mamilioni ya Mshahara hata kama huna Degree ni wale wlioko kwenye Mamlaka na Wakala zinazokusanya kodi. hao mishahara yao ukiipata scale yao utakufa kwa Sroke ukilinganisha na mshahara wa mtu mwenye masters anayefanya serikali za mitaa au wizarani!
 
Kufanya kazi serikalini ni kujitaftia stress tu, mi nipo TGSE lakini mambo magumu nataka nichukue kiinua mgongo changu kwa mkopo nigeukie biashara zangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…