mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 137
Halafu anajiita great thinkerSasa kama hujui kuhusianisha HEADING na MADA unategemea nini kwenye hiyo kazi unayoomba?
Andika kwa tarakimu ndio maana yang n sawa na sh ngp hzo taaarabu zenjiiiiSasa kama hujui kuhusianisha HEADING na MADA unategemea nini kwenye hiyo kazi unayoomba?
Nilipoona ni kazi za wahandisi nikabaki nashangaa, how come mhandisi au fundi mchundo ushindwe kuandika mada ukiwa umetulia?! soma heading alafu soma mada utaelewa nnachomaanisha!Andika kwa tarakimu ndio maana yang n sawa na sh ngp hzo taaarabu zenjiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuMishahara ya watu ni Siri, na kila idara ina viwango vyake. Hizo grade A, B, C etc zinatofautiana kada 1 na nyingine. Ila tu kukusaidia B ni km 390,000/=, A ni ndogo kidogo na C ni kubwa kidogo
Hapana cjasoma kivile ni std 7 tu alafu nmesoma veta miez Sita ufundiHuyu naye msomi au vipi? Kichwa cha habari na maelezo haviendani kabisa.
Asante kwa kuja sasa unazan uhandisi ndio uhandishi yote kwa yote hujui kinachoulizwa nadhan pía hujaelewaNilipoona ni kazi za wahandisi nikabaki nashangaa, how come mhandisi au fundi mchundo ushindwe kuandika mada ukiwa umetulia?! soma heading alafu soma mada utaelewa nnachomaanisha!
Kila la heri.
GS C, TGS B, TGS A naomba unisaidie hapa wanamaanisha nini vivi vifupi kama ni elimu ni kiwango ganiHiyo kazi hata ya ugardener unaeza kosa, tumia weledi kuuliza au kutoa taarifa.
GS C, TGS B, TGS A naomba unisaidie hapa wanamaanisha nini vivi vifupi kama ni elimu ni kiwango ganiHiyo unayouliza ni mishara ya sekta IPI?,maana kila sekta ina muundo wake wa mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app