zee la weza
Senior Member
- Feb 7, 2012
- 190
- 29
mbona mishahara washaingiza zamani sana angalia bwana siyo kulalama tuWadau mpaka sasa hivi huku mkoa wa njombe mishahara ya mwezi huu bado walimu hatujapata na hakuna taarifa zozote za kuchelewesha huo mshahara vipi pande zingine za nchi na sector nyingine?, pia vipi kuhusu ajira mpya za waalimu? Maana shule zetu hazina walimu wa kutosha.
Kazini unafuata nn kama hujalipwa? Unatumia kipato gani?
Fuatilia mshahara wako kwa mwajiri wako, hapa ni JF