Mishahara vp

Hiv mishahara tatizo ni KIGOMA au na sehemu nyingine



Mshahara upi tena maana tarehe hizi sio za mshahara ni tarehe za kuchapa kazi kumkopesha tajiri nguvu, au wewe unafanya kazi wapi, baa gani, hoteli gani, au nyumba ya nani
 
Maisha bora kwa kila mTZ. Serikali sikivu imeshakusikia, vuta subira.
 
komaa wanadai Tabora na Kigoma mtalipwa mishahara ya may na june pamoja mwishoni mwa mwezi huu.
 
Hata mwanza bado hakijaeleweka. Nasikia pesa zimehifadhiwa kwa aajili ya maandalizi ya kumpokea Obama na mkulu anajiandaa kumfuata muda wowote kuanzia sasa.
 
mbona serikali inawavunja moyo,mwalimu anafanya kazi kwenye mazingira magumu,mshahara wake kiduchu lakini mshahara huo huo unacheleweshwa bila hata maelezo yoyote,hivi kwa staili hii kutakuwa na elimu bora au bora elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…