Mishahara Swissport

Mishahara Swissport

chief bazoka

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
97
Reaction score
22
Habari wadau,heri ya mwaka mpya.anayefahamu mishahara ya swissport kwa ngazi ya air ticketing officer anifahamishe wanalipaje asanteni
 
Inategemea na idadi ya ticket unazo katisha kwa siku na ticket 1 ni sh. 500.Ila ukiweza kukata ticket nyingi unakuwa Afisa mkuu wa kukata ticket na kulipwa buku 1 kwa kila ticket.
 
Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege. hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.

kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi nyundo ! bila hivo kamaanda hupati kazi au upewe memo toka serikalini wizara ya mawasiliano wanao toa leseni za ground handling !

Temu kishawaroga wazungu na kuifanya mali Swissport mali yake na kajaza nduguze shemejize mademu zake kibao.

Hata hiyo warehouse mpya inayojengwa kuna kampuni zake ndo zina supply kila kitu
 
Inategemea na idadi ya ticket unazo katisha kwa siku na ticket 1 ni sh. 500.Ila ukiweza kukata ticket nyingi unakuwa Afisa mkuu wa kukata ticket na kulipwa buku 1 kwa kila ticket.

Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege.
hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.
kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi nyundo ! bila hivo kamaanda hupati kazi au upewe memo toka serikalini wizara ya mawasiliano wanao toa leseni za ground handling !

Temu kishawaroga wazungu na kuifanya mali yake na kajaza nduguze shemejize mademu zake kibao
 
Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege.
hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.
kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi nyundo ! bila hivo kamaanda hupati kazi au upewe memo toka serikalini wizara ya mawasiliano wanao toa leseni za ground handling !

Temu kishawaroga wazungu na kuifanya mali Swissport mali yake na kajaza nduguze shemejize mademu zake kibao.

Hata hiyo warehouse mpya inayojengwa kuna kampuni zake ndo zina supply kila kitu

Huyo Temu ndo nani mkuu?
 
temu anafanya kazi nzuri sana Swissport. Kila mtu ana udhaifu wake lkn kwenye kazi yuko makini. HIYO Mademu hata wewe mleta mada unao bisha? All in all kwa uelewa wangu Swissport hawakatishi tiketi. Wao ni handling agents wa mashirika mbalimbali ya ndege yanayooperate hp Tanganyika.
 
Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege.
hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.
kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi nyundo ! bila hivo kamaanda hupati kazi au upewe memo toka serikalini wizara ya mawasiliano wanao toa leseni za ground handling !

Temu kishawaroga wazungu na kuifanya mali Swissport mali yake na kajaza nduguze shemejize mademu zake kibao.

Hata hiyo warehouse mpya inayojengwa kuna kampuni zake ndo zina supply kila kitu

Duuh mbona soo mshahara wa laki tatu kwa maisha ya dar
 
Ivi nao hao swissport watu wa umeme hua wanawachukua ama,kwa maana kitaa kigumu jamani
 
All the best.Ukifanikiwa kuwa Check-Inn Agent usije kuwa unakula ''Baula''.
Nilikuwa DAHACO kabla ya kubadili jina kuwa Swissport Mwaka 2003-2005.Nilikuwa Ramp Supervisor.

Upo sahihi kaka lets hope for the best
 
Mimi naomba mwenye kujua anaedil na potter, pale .
 
Back
Top Bottom