Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika