Habarin wana jamvi,
Kwa wale walimu wa ajira mpya walioajiriwa mwez may 2015 kuna baadhi take home yao imepungua je ni heslb wameanza kuchukua chao au ndo serikal imeanza kubana matumizi.

Kiwango kinaongezeka yale madeni yana riba. Na nadhan this time watafuatilia kwa Karibu zaidi 7bu kaja mfuatiliaji hakuna kuzunguka mbuyu na hudumu kwa takriban ten yrs iyo 8% ya salary yako
HESLB wanatakiwa wakate asilimia 5 ya mshahara,, nakumbuka kwenye loan statement yangu walisema ni 5% ya salary na wataanza kukakata kuanzia tar 1 dec,, ingawa mie co mwalim na wala sijaajiliwa may lakini loan statement yangu ndio ilisema hvyo