Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
We naye unakuwa kama ni mgeni wa serikali hii?!!? mbwembwe zote hizo utakuta kuna increment ya 40,000/!!kwa maisha haya hiyo inakusaidia nini? kama c kuongeza uchonganishi tu kwenye familia, huko wazazi wanaona heading ya gazeti 'WAFANYAKAZI WAULA' MSHAHARA JUU!! wakijua laba kuna hela ya maana imeongezwa. Mi nakumbuka miaka ya 90,kwenye mwaka wa budget, mshahara ukionezwa kwa mzee, hata bila kuambiwa nyumbani mtaanza kuona changes tu, kwani pesa ilikuwa ni kidogo ila yenye thamani!! sasa leo pesa inashuka thamani kila siku, badala ya kutafuta ufumbuzi, wahusika wanaanza kuleta siasa, eti ugaidi nao ni chanzo, mala eti uchumi wa USA, Umeimarika,!! kwa wachumi hawa dollar itafika 5000!!Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
We naye unakuwa kama ni mgeni wa serikali hii?!!? mbwembwe zote hizo utakuta kuna increment ya 40,000/!!kwa maisha haya hiyo inakusaidia nini? kama c kuongeza uchonganishi tu kwenye familia, huko wazazi wanaona heading ya gazeti 'WAFANYAKAZI WAULA' MSHAHARA JUU!! wakijua laba kuna hela ya maana imeongezwa. Mi nakumbuka miaka ya 90,kwenye mwaka wa budget, mshahara ukionezwa kwa mzee, hata bila kuambiwa nyumbani mtaanza kuona changes tu, kwani pesa ilikuwa ni kidogo ila yenye thamani!! sasa leo pesa inashuka thamani kila siku, badala ya kutafuta ufumbuzi, wahusika wanaanza kuleta siasa, eti ugaidi nao ni chanzo, mala eti uchumi wa USA, Umeimarika,!! kwa wachumi hawa dollar itafika 5000!!
Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
Aisee kumbe na wewe ulimsikia? Alisema 'ikiwezekana' tunaweza kupandisha mpaka 315, akaongezea neno 'ikishindikana'. So nadhani ni changa la macho kwa wafanyakazi hasa walimu.Kikwete alisema ataongeza mishahara ya kima cha chini hadi karibia na laki tatu na kumi na Tano
Hapo wenye akili tulijua siasa kwenye ubora wake, kawaida lazima itajwe asilimia sio makadirio.