Mishahara itakuja ongezwa kweli?

Mishahara itakuja ongezwa kweli?

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Simu za hivi karibuni serikali ilisema imesitisha kuongeza mishahara hadi miradi mikubwa inayoendelea imalizike. Jana serikali ikasema imesitisha ujenzi wa Barbara ya njia sita itakayo Ubungo mpaka miradi mingine ikamilike. Kwa hali hii kweli wafanyakazi tuna sababu ya kutegemea kwamba IPO siku mishahara itapanda kwa awamu hii ya 5?
 
Sahau hio kitu subiria awamu nyingine
 
Tangazo lifuatalo ni kuhamia Dodoma kusitishwa hadi miradi yote iishe
 
Kinachofuata ni kusitisha na stahiki zingine zote mpaka miradi yote ikamilike ila itakamilika lini,hilo halijulikani!!!
 
Tusitegemee hicho kama miradi nayo ishaanza kuwashinda watakuja Na kisingizio kingine
 
Kitu kimoja muhimu wafanyakazi wanatakiwa waelewe ni kuwa, kama serikali ikiongeza mapato kwa namna yoyote ile basi itaweza kuongeza mshahara. Lakini kama mapato yanadidimia kiasi inashindwa hats kuhudumia bajeti za wizara muhimu kabisa hats kwa 50% tu, basi tuelewe hali in mbaya!! Hawataweza kamwe kuongeza...
Sasa kama hiyo miradi mikubwa ambayo ndio tulikuwa tunaambiwa pesa zinaenda huko na yenyewe inakwama, jua hali in mbaya zaidi!!
Kwa kifupi, kama wanaweza kuendelea kulipa mishahara kwa viwango hivi hivi mpaka sasa, tushukuru!! Tutamlaumu bure baba Wa watu , ila hawezi kuongeza.. Pesa hiyo haipo!!
Acheni kuwaza vitu vitavyowaumiza, ukakaa roho juu ukingoja upande.. Brother, utaumia buree

Huu ndio ukweli mchungu!!
 
Back
Top Bottom