Mchezo wa gololi linachorwa duara kila mtu anaweka dau inaweza kua golol 2-10 halaf mnacheza kwa kutumia vidoleHii ilikuaje?? Mwaka gani
Msumi: Who are you?ile misemo ya bi msumi?
Kuna ile kwani wao wanasemaje?Msumi: Who are you?
Usa: If you don't know, now you know
Unamtuma wife niwekee maji bafuniMsumi: Who are you?
Usa: If you don't know, now you know
Ushasikia "Duki Naa" ?Uzi huu nimeuanzisha kwa ajili ya kukumbushana misemo mbali mbali ambayo ilizuka na kupotea katika Generation mbalimbali ambazo tumepitia , mpaka leo hii
Lengo ni kucapture kumbukumbu ya baadhi ya matukio, au viburudisho ambavyo tumewahi kuenjoy kwa wakati huo, Tunaita NOSTALGIA
Binafsi nakumbuka misemo kama UTAJIJU!!, MAMBO POA! SHEGA! FAGILIA! n.k
Twende Kazi....