babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Technically and Tactically nalo wanakosea?Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika neno "huu ni mchezo wa kimkakati" kwa sasa limeachwa kutumika kama vile hakuna michezo hiyo ya " kimkakati". Neno mchezaji " kuku-offer" wachambuzi wengi kweli walikuwa wanalitumia kwa sasa sijui nini kimetokea kwa wachezaji "ku-offer". Yapo na mengine ambayo hayana ulazima wa kuyatumia lakini bado utasikia wachambuzi wengi wanayatumia kwa mfano neno "yes".
Mimi naamini ni kuiga au kuigilizia ndiko kunakoleta mambo kama haya.
Ni mimi mchezaji kiongozi.
Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika neno "huu ni mchezo wa kimkakati" kwa sasa limeachwa kutumika kama vile hakuna michezo hiyo ya " kimkakati". Neno mchezaji " kuku-offer" wachambuzi wengi kweli walikuwa wanalitumia kwa sasa sijui nini kimetokea kwa wachezaji "ku-offer". Yapo na mengine ambayo hayana ulazima wa kuyatumia lakini bado utasikia wachambuzi wengi wanayatumia kwa mfano neno "yes".
Mimi naamini ni kuiga au kuigilizia ndiko kunakoleta mambo kama haya.
Ni mimi mchezaji kiongozi.
Final third ,Half space
Kuna wakati wanasema mpira una MATOKEO matatu (kushinda, sare, kushindwa). Sasa utakuta hao hao wanaelezea kuwa timu fulani haikupata MATOKEO wakimaanisha kuwa timu hiyo ilishindwa)
Half space ni between wachezaji wawili wa timu pinzani ,Yan kwa mfano space (nafasi) kati ya namba 5 na 3Ukimkuta ambangile anakwambia half space sijui nini nini kile?
Au Leo nitaona jinsi mabeki watakavyoulizwa maswali magumu na washambuliajiUkimkuta ambangile anakwambia half space sijui nini nini kile?
Umesahau chemistry,square pass,through pass ,dribbling nkHuwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika neno "huu ni mchezo wa kimkakati" kwa sasa limeachwa kutumika kama vile hakuna michezo hiyo ya " kimkakati". Neno mchezaji " kuku-offer" wachambuzi wengi kweli walikuwa wanalitumia kwa sasa sijui nini kimetokea kwa wachezaji "ku-offer". Yapo na mengine ambayo hayana ulazima wa kuyatumia lakini bado utasikia wachambuzi wengi wanayatumia kwa mfano neno "yes".
Mimi naamini ni kuiga au kuigilizia ndiko kunakoleta mambo kama haya.
Ni mimi mchezaji kiongozi.