Misambwanda ya JF

Utakabwa alafu ukute na kamjusi kamefia kitandani...
Lol [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] usinikumbushe akii ngoja nimwombe Demiss anifanyie makeke wakija kunikaba tena niwaone niwapige [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mm bado mwanafunziii
 

Ila unabalaa sana mahondaw wangu...

Umenitoa nyumbani mbio mbio usiku wa manane nafika kwako ati unahisi kukabwa na unaogopa mjusi...

Kwa hiyo? Tulale wote...

Hahahaha... nilitamani nikugonge makonzi ila badala yake nikakugonga nanilii...
 
Hahahahaha [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nilitaka kushangaa Smart911 ameanza lini hii tabia mbaya [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Sawaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] nilikuwa namaanisha smart na Mshana mtu na kaka ake mm na wewe tunaitanaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…