Siku nitakuweka 18 lazima nikufunge goli la mkonoKwemaaaaa karibu dada
Kufumaniwa ni mpaka 40 ukute upo kwenye 10 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tabia mbaya ni mpaka ufumaniwe...
haki vile tunasimangwa mno!!
Oooooh!wewe mletee fyokofyoko mimi simo!Baba J? [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 739243
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] nilifurahiiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila unabalaa sana mahondaw wangu...
Umenitoa nyumbani mbio mbio usiku wa manane nafika kwako ati unahisi kukabwa na unaogopa mjusi...
Kwa hiyo? Tulale wote...
Hahahaha... nilitamani nikugonge makonzi ila badala yake nikakugonga nanilii...
wapi huko? mbona sijawahi kuona! zaidi ya kunangwa sijawahi ona bana.
alaa,tunakulaga sieKama msos au