Misafara inatutesa hasa wa Rais

Mitano tena kwa mama nipo nae hapa kasema mkimchagua tena atafuta hiyi sheria mtakuwa mnapishana nae mtaan, makofi meng kwake tumpe jaman
 
Nilishawahii kukosa interview kisaa hayo maswala aisee
 
Anawafanya Watanganyika kama vikaragosi vyake leo nimemsikia akiwaambia watu wapishe miradi itekelezwe kwanza halafu kama kuna watu waliotakiwa kulipwa fidia kupisha miradi ndiyo watalipwa baadaye,hivi kwa tabia ya hawa madhulumati kutakuwa na kulipwa hapo tena!
 
Watafute chopper hata mbili kwa ajili ya viongozi waachane na hizi ghasia.

Uko highway ghafla unasikia king'ora na jamaa wametanua hata hawajali hatari iliyopo mbele yako, unakuta uko eneo ambalo huwezi kutanua.

Waheshimiwa wanapaswa kujua hii miundombinu wanayojenga sio rafiki kwa misafara na matumizi ya public kwa pamoja.
 
Hili jambo kiukweli linakera sana. Nilishawahi kutoa wazo hao watu watafute usafiri wao mbadala! Iwe ardhini, au angani; na hivyo kutuachia barabara zetu.
 
Tupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara.

Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
Panda zako ndege kuepuka huu ujinga
 
Nchi ina upumbavu mwingi sana, majuzi natoka Dodoma nimekuta pale Dumila wameweka jukwaa barabarani na hawana hata wasiwasi!
 
Tupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara.

Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…