mchakavumlasana JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 389 Reaction score 213 Dec 14, 2014 #1 Habari zenu, Natafuta mirunda 600 na mbao use (cyprus 1 by 6 na 4 by 2)ambazo hazikukatwakatwa kwa ajili ya ujenzi eneo la kigamboni kitapewa kipaumbele Kama unazo tafadhali pm (na bei yako)
Habari zenu, Natafuta mirunda 600 na mbao use (cyprus 1 by 6 na 4 by 2)ambazo hazikukatwakatwa kwa ajili ya ujenzi eneo la kigamboni kitapewa kipaumbele Kama unazo tafadhali pm (na bei yako)
mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,462 Dec 14, 2014 #2 safi kwa ujenzi ninayo ila ndio bado ipo site inafanya kazi ila baada ya wiki tatu hivi watafumua hata marine board zipo ila site ipo mbezi
safi kwa ujenzi ninayo ila ndio bado ipo site inafanya kazi ila baada ya wiki tatu hivi watafumua hata marine board zipo ila site ipo mbezi