Ndio ilipigwa marufuku na waziri mkurupaji Mrema...Si unajua kuna enzi hizo ambazo mawaziri wa TZ wlipewa nguvu au wlijipa nguvu za ajabu....maanake wakiamka tu wanatoa sheria mpya.....sidhani hata kama bunge ilipitisha hili swala.Inasemekana (tetesi) kuwa Mrema alikuwa na ugomvi na muuza miraa ambaye sijui alimchukulia....????
Kazi kwako...
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Biological_classification"]Scientific classification[/ame]
Kingdom: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Plant"]Plantae[/ame]
Division: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Flowering_plant"]Magnoliophyta[/ame]
Class: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Dicotyledon"]Magnoliopsida[/ame]
Order: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Celastrales"]Celastrales[/ame]
Family: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Celastraceae"]Celastraceae[/ame]
Genus: Catha
Species: C. edulis
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Binomial_nomenclature"]Binomial name[/ame]
Catha edulis
respect to khat aka VEVE aka GOMBA
gomba uanga ni kitu ya power sana.
miraa will calm your nerves, relax your mind and take to a higher realm of thinking and meditation. uongo mbaya, I LOVE GOMBA!!!!!!!
kilo jamo ya shamba, unaifungua unaispread hapo juu meza, big G chewing gum kama 3 hivi, na krest soda. uuuuwiiii hiyo uanga ni mambo BAAAADDDD!!!!!!!
unaanza kula veve from kitu kaa saa mbili za jioni kama umeketi pale base na maboiz wamtaa(kila mtu ako na kilo yake hata kama ni muguka). mastory zina flow tu na KUCHANA GOMBA HADI CHEEE!!!
ANYBODY WHO HAS LIVED IN EASTLANDS NAIROBI KNOWS WHAT I AM TALKING ABOUT!!!!!!!
Hapo mkuu umenikumbusha, jumapili moja nilikuwa narudi kwenye kiota changu mitaa ya saa saba usiku, nikaamua kupitia traveltine jahazi walikuwa wanapiga, nilipoingia nikaenda kubana zangu nyuma kabisa akaja mtoto wa kiarabu mzuri kuniomba lighter. Nilipompatia akaomba kukaa na mimi tukawa tunavuta zetu fegi kwa fujo, mida ya kuondoka nikamsomba. Tulipo fika nashangaa mwenzago alipozama ****** kazama na pochi yake alipotoka kuangalia kwenye sinki naona rangi ya kijani nikashindwa kuhoji, wakati wa kupeana mavitu si kataka kula mate balaa mtot anaulimi mkali nusu anikate, hapo ndipo akili zikanijia kumbe demu ni msaga gomba wa hatari.
<br />true, it really confuses the brain (in a good way though), you can search for something, lets say a lighter, the whole night and you had it in your front pocket all along. veve is a helluva a drug.<br />
<br />
hakuna mtu hapa JF (isipokuwa smatta) ambaye ashatafuna mirra?
Kingine ni ile sifa yake ya kuvunja ndoa za watu, mara nyingi watumiaji wa miraa hushindwa kutimiza majukumu yao ya ndoa.