Miraa, khat, mirungi

Smatta

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
2,350
730
khat1a.jpg

miraa

Is Miraa banned in Tanzania? I asked my self this question after seeing several of my tanzanian friends chewing the plants here in Kenya, and can someone please explain the year that this drug was banned and the reasons. Khat growers are making a shell load of money exporting it to some countries in the West and around Africa. Tanzania having large fertile tracts of land can benefit immensley from trading on this plant, and the public can enjoy chewing it, coz its so damn good.
Effects Of Khat

Fresh Khat leaves, which are typically chewed like tobacco, produce a mild cocaine or amphetamine-like euphoria that is much less potent than either substance with no reports of a rush sensation or paranoia indicated.
By filling the mouth to capacity with fresh leaves the user then chews intermittently to release the active components. Chewing Khat leaves produces a strong aroma and generates intense thirst.
Casual users claim Khat lifts spirits, sharpens thinking, and, when its effects wear off, generates mild lapses of depression similar to those observed among cocaine users.
Since there appears to be an absence of physical tolerance, due in part to limitations in how much can be ingested by chewing, there are no reports of physical symptoms accompanying withdrawal.
Advocates of Khat use claim that it eases symptoms of diabetes, asthma, and stomach/intestinal tract disorders.
 
khat1a.jpg

miraa​

.

Thanks Jesus banned in Tanzania.

But hizi kitu zinakuwa consumed sana hapa Arusha, mchana kweupe , na mapolisi wanapewa kitu kidogo , wanakauka! Kuna akina mama ambao kazi yao ni hiyo 24/7 na wanajenga majumba ya kifahari.

Lakini, vijiwe vya watu wanaokula hizi kitu ni vya hatari sana, na kila wakati wanapotafuna wanakuwa wanapanga mambo ya hatari sana, eg kupora pimajoto za akina mama et al.

To my side, i see these drugs as very fatal, as far as human resourse aka Nguvukazi is concerned.

Usitarajie kitu chema chochote toka kwa mtu wa Miraa...hawana muamana.

Will the Government tighten its string in banning it!
 
Lakini ukiangalia swala la economics, mti huu una manufaa mengi sana kiuchumi, its a cash crop that rivals cofee and flowers.
 
Lakini ukiangalia swala la economics, mti huu una manufaa mengi sana kiuchumi, its a cash crop that rivals cofee and flowers.

Ha ha haa!

Sikutegemea useme hilo mzee, nakuheshimu sana Smatta.

There must be a balance btn Economical and Social viability to any product! Si kwa vile linatoa hela mingi, basi turuhusu tu, bila kuangalia majaliwa ya vijana wa Kitanzania! Wewe nina hakika hujakutana na hawa vijana wanaokula hizi kitu! Unajua roba ya Mbao wewe?

Usilinganishe Miraa na coffee na flowers, kwani vitu hivi havipikiki chungu kimoja, ni kama Wayahudi na Wasamaria!

After all, why in the first place did the gvnmnt ban it? Ni kama mambo ya Mrema wa 2005 kupigania gongo irudishiwe uhalali! Ogopa hii kitu!
 
Vita dhidi ya miraa a.k.a handas haitafanikiwa kamwe Tz. Simply coz majiran ze2 Kenya ni halali kwao. Nguvu za pamoja nahisi zinahitajika ukanda huu wa E Africa.
 
Lakini ukiangalia swala la economics, mti huu una manufaa mengi sana kiuchumi, its a cash crop that rivals cofee and flowers.

Bro,

Jamaa zako wako Meru nini?..Maana naona unafagilia sana hii
kitu..ulisahau the other names.....Veve or Gomba!!!:D
 
Hebu wacha niulize, hii EAc ikisha kubaliwa na tuwe kitu kimoja (no pun intended tafadhali) si hii itakuwa halali, coz its allowed in the rest of the EA countries except in Tanzania, nadhani ile hoja ya majority rules ita apply in this situation.

Mimi hula veve in ma house when am relaxed and don't want the club or pub atmosphere, its relaxing to an unbelievable level, better than weed on any day, you should try it and trust you me, you will get hooked.
 
Gomba si mchezo, Arusha inaliwa sana na wasomali hasa ule mtaa wa shule ya Bondeni Sec. Nasikia ukilitafuna sana Gomba unaweza ukaanza kutafuta miguu yako kumbe umeikalia!!! Tehe tehe
 
Gomba si mchezo, Arusha inaliwa sana na wasomali hasa ule mtaa wa shule ya Bondeni Sec. Nasikia ukilitafuna sana Gomba unaweza ukaanza kutafuta miguu yako kumbe umeikalia!!! Tehe tehe

Duh umenikumbusha mbali kuna rafiki yangu anaishi mitaa ya Kaloleni anatumia [saga] miraa sana,anapenda kuisifia sana miraa anadai ulevi [handasi]ikimwingia sawasawa inamtuma kufanya usafi chumbani kwake au kufua nguo haijalishi ni saa ngapi ata kama ni saa 7 usiku atapiga deki atafua nguo na nk.

kuna siku alikamatwa na polisi saa 6 usiku alikutwa analima bustani ya maua mbele ya nyumba anayoishi.
 
Gomba si mchezo, Arusha inaliwa sana na wasomali hasa ule mtaa wa shule ya Bondeni Sec. Nasikia ukilitafuna sana Gomba unaweza ukaanza kutafuta miguu yako kumbe umeikalia!!! Tehe tehe

true, it really confuses the brain (in a good way though), you can search for something, lets say a lighter, the whole night and you had it in your front pocket all along. veve is a helluva a drug.

hakuna mtu hapa JF (isipokuwa smatta) ambaye ashatafuna mirra?
 
Kingine ni ile sifa yake ya kuvunja ndoa za watu, mara nyingi watumiaji wa miraa hushindwa kutimiza majukumu yao ya ndoa.
 
Hivi hii miraa kwa kiingereza au botanical name yake ni ipi, tunaweza google na kuona madhara yake as proven na pengine kuona duniani inapatikana wapi tena.
Mwenye data tafadhali.
 
Utumiaji wa miraa unakupa ujasiri usio wa kawaida statistics from media/news zinaonyesha majambazi sugu/makubwa na masterminder wa matukio makubwa ya ujambazi wanatokea Arusha na wanashirikiana na wa Nairobi, labda miraa its a secret.
 
Hivi hii miraa kwa kiingereza au botanical name yake ni ipi, tunaweza google na kuona madhara yake as proven na pengine kuona duniani inapatikana wapi tena.
Mwenye data tafadhali.

Kazi kwako...

Khat (Catha edulis, family Celastraceae; pronounced /ˈkɑːt/; Arabic: قات; Ge'ezč̣āt; Somali: qaat), also known as qat, qaat, quat, gat, jaad, chat, chad, chaad and miraa, is a flowering plant native to tropical East AfricaArabian Peninsula. ጫት and the
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Biological_classification"]Scientific classification[/ame]

Kingdom: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Plant"]Plantae[/ame]

Division: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Flowering_plant"]Magnoliophyta[/ame]

Class: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Dicotyledon"]Magnoliopsida[/ame]

Order: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Celastrales"]Celastrales[/ame]

Family: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Celastraceae"]Celastraceae[/ame]

Genus: Catha

Species: C. edulis

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Binomial_nomenclature"]Binomial name[/ame]

Catha edulis
 
true, it really confuses the brain (in a good way though), you can search for something, lets say a lighter, the whole night and you had it in your front pocket all along. veve is a helluva a drug.

hakuna mtu hapa JF (isipokuwa smatta) ambaye ashatafuna mirra?
Bro,

mwenzio niko hapa.Tumetafuna hio kitu mbaya sana Mombasa especially
when going to the Municipal Stadium kucheki gem za Bandari. Infact nikija
home lazima nipitie Jiji nikamate kilo mbili kutoka kwa 'murume'...if u catch my
drift.

Gomba poa sana why lie!!!
 
hahahaha, vaithe murume, hii wiki tuko na holiday saturday, so ku unwind kwa nyumba, nitanunua red label, miraa kilo moja, pkt ya embassy lights, nitafute mrembo, and then the party begins. miraa si utani wenzangu, i urge (lolest) you to try it if you haven't, watu wa A town mpo??
 
Back
Top Bottom