zifike mikononi mwa maadui mala ngapi ?Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Jina nkunda lina asili ya watu wa wapi?zifike mikononi mwa maadui mala ngapi ?
Kipindi CDF Nkunda ana kili timamunkidogo, alimchana Mh Rais kwa habari ya watu wasio wa Tz kuwepo maeneneo nyeti
Sema zinahusu nini inatosha.Siyo salama kwa maslahi mapana ya Taifa ,zingelihusu CCM,aah! Kitambo sana
Rwanda na Burundi.Jina nkunda lina asili ya watu wa wapi?
Hivi ushauri mbalimbali ambao hutolewa huku huwa unaonekana vipi na ilhali JF imefungiwa kuonesha maudhui yake kwa wananchi?Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Hivi ushauri mbalimbali ambao hutolewa huku huwa unaonekana vipi na ilhali JF imefungiwa kuonesha maudhui yake kwa wananchi?Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Wanasema ni mkaguruJina nkunda lina asili ya watu wa wapi?
Sasa kama upo kati ya watu mnaoweza kupata information za siri. Hapo inakuwa imevuja kweli mkuuSiyo salama kwa maslahi mapana ya Taifa ,zingelihusu CCM,aah! Kitambo sana
Unahofia itakuwaje zitapofika mikononi mwa adui yako wa nje lakini saizi unaziona zikiwa salama mikononi mwa adui wa ndani?Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Kama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?Ulinzi wa maeneo nyeti yakimkakati
Sasa umekuja kuzungumzia bila kuziweka ukimaanisha nini na unatumia fake id?Siyo salama kwa maslahi mapana ya Taifa ,zingelihusu CCM,aah! Kitambo sana
Ile haikuwa shida kubwa ,shida ni mfumo mzima wa ulinzi utakaotumika kulinda maeneo yakimkakati kuwekwa hadharani tena kwenye nyakati ngumu kama hizi dah! Nihatari ikiwa adui akaja kuubaini udhaifu wetu.Kama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?