Lowassa is a Blackmailing tycoon,atamjengea mazingira magumu sana James Milya ili tu arudi CCM....nakumbuka 2005 kuna jamaa ana butcheries nyingi sana pale soko kuu Arusha,alijifanya kushindana na EL kwa nafasi flani kwenye ngazi ya CCM,cha ajabu yule jamaa nyama za butcheries zake zikawa haziuziki kwa sababu aliuza kwa tenders za maofisi kadhaa,zinaoza tu,ila alivyojitoa kwenye kinyang'anyiro akapata na extra tenders....Milya has to be very careful with EL,,,he is not a good man kabisa.....na hata leo ukienda soko kuu la Arusha,kuna butcheries zina sticker za "CHAGUA LOWASA"......Tanzania ishaoza,tumwombe Mungu atusaidie