Hii miviongozi ya afrika inabidi kunyongwa tu. Inauchu sn wa madaraka! Iko tayari raia wao wafe hata wote lkn ibaki madarakani.
Nasikitika sn anayetetea viongozi wa afrika
Hivi Bush atakamatwa lini?,au mahakama hii ni kwa ajiri ya viongozi kutoka Afrika pekee?..
Ubongo wako una matatizo
Kumbe ww ni kati ya walevi wanaotete viongozi wa afrika....au wewe ni riz1 babako ni kiongozi ndo maana imekukera??!!
Hapo ndo umeuliza nini sasaNdugu yangu hapa tunajadili kwa sera na si kuingiza chuki zako.Sasa riz kafikaje hapo?Au ulitaka bashir akamatwe then iweje?
kumchkia riz hakukuondolei upumbavu wako wewe unaonekana ni juha mwenye chuki zisizo na msingikumbe ww ni kati ya walevi wanaotete viongozi wa afrika....au wewe ni riz1 babako ni kiongozi ndo maana imekukera??!!