Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,199 Reaction score 7,750 Nov 19, 2022 Thread starter #41 Amerigo Vespucci said: Kama ni ya kuchaji,inakaa na chaj muda gani? Vp huwezi iunganisha na umeme? Mkuu naomba kufahamu Kama unaweza weka CCTV cameras nyumbani lakini zikawa zinatumia umeme wa solar Click to expand... Hii ni spy camera na sio cctv camera so inakaa na charge kwa masaa mawili Unaweza ukaiunganisha na umeme ikawa on muda wote Kuhusu cctv cameras za solar ndio unaweza ukafunga nyumbani
Amerigo Vespucci said: Kama ni ya kuchaji,inakaa na chaj muda gani? Vp huwezi iunganisha na umeme? Mkuu naomba kufahamu Kama unaweza weka CCTV cameras nyumbani lakini zikawa zinatumia umeme wa solar Click to expand... Hii ni spy camera na sio cctv camera so inakaa na charge kwa masaa mawili Unaweza ukaiunganisha na umeme ikawa on muda wote Kuhusu cctv cameras za solar ndio unaweza ukafunga nyumbani
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,199 Reaction score 7,750 Nov 27, 2022 Thread starter #42 CAMERAS SOLD OUT
Q Quod Nocet Saepe Docet JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,944 Reaction score 17,267 Dec 20, 2023 #43 Je, Camera hizi bado zinapatikana ?Yaani mzigo mwingine upo?