Mini Pajero for sale 4.8Mil

Mini Pajero for sale 4.8Mil

Madesa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
17
Reaction score
30
Gari ipo katika hali nzuri,haidaiwi chochote,
cc650
AC
Imetembea Km 181000
bei 4.8Mil serious buyer call 0714792727/0782345695

Server haiko poa saiz ukihitaji just whatsapp ntakutumia picha

 
Weka picha kjana....au huuzi unatutania

Hilo ni tatizo sana la wauzaji wengi wa vitu hapa JF.
Hawaweki picha.
Nadhani mods watusaidie kwenye hili.
Kama tangazo halina picha wawe wanafuta.
Kwisha
 
Back
Top Bottom