Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Hard disk 150Gb
Hard drive NO
Ndo nini sasa hiyo???
Habari zenu wanajf, Ninauza mini laptop ambayo ipo katika hali nzuri kabisa na wala haijawahi kufunguliwa; Maelezo kuhusu sifa za hiyo mini laptop ni kama zifuatazo:-
Mini Laptop ni ya aina ya ASUS Eee Pc 1001px
Specification
Display: 25 inch
Built-in webcamWi-fi support
Hard disk: 150GB
RAM: 1GB
Processor: Intel Atom
Processor speed: 1.67GHz
Battery charge duration (Muda wa betri kukaa na chaji): 2hrs (Masaa mawili)
Operating System (OS): Windows 7, 64 bit OS
Ports: VGA, USB, Ethernet, Memory Card, Audio jack
Hard drive: NO
Bei ni Tsh. 280,000/=
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nami kupitia namba zifuatazo:-
+255 655 414 134
+255 753 942 277
+255 787 581 505
Hard disk 150Gb
Hard drive NO
Ndo nini sasa hiyo???
naomba niulize...
ni nini kimesababisha mpaka uiuze au inaupungufu?
Weka pcha ila nna punguf kdg
Habari zenu wanajf, Ninauza mini laptop ambayo ipo katika hali nzuri kabisa na wala haijawahi kufunguliwa; Maelezo kuhusu sifa za hiyo mini laptop ni kama zifuatazo:-
Mini Laptop ni ya aina ya ASUS Eee Pc 1001px
Specification
Display: 25 inch
Built-in webcamWi-fi support
Hard disk: 150GB
RAM: 1GB
Processor: Intel Atom
Processor speed: 1.67GHz
Battery charge duration (Muda wa betri kukaa na chaji): 2hrs (Masaa mawili)
Operating System (OS): Windows 7, 64 bit OS
Ports: VGA, USB, Ethernet, Memory Card, Audio jack
Haina CD/DVD drive
Bei ni Tsh. 280,000/=
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nami kupitia namba zifuatazo:-
+255 655 414 134
+255 753 942 277
+255 787 581 505
Display inchi 25 eeeh?!! Hiyo ni TV
ongezea ongezea hapo, maana kwahiyo bei yako hailipi kwakweliKula 150k mdau