Mimi siyo yule tena

Kwanza jaman Tuwapende ma Dada wakazi [emoji23][emoji23], Dada wakazi alikurahisishia mzigo.

Pili,,,,Mimi naumiaga nausaliti wakushuhudia ,, km nimie Ningejitazama ,, kama Nina mwanamke tayar Basi ningemwambia Changanya mbaliga.... Km Niko alone bado ( ningemsamehe kwa mapozi + ningemwambia Pima+ plus kujua kwamba huko kaumizwa kwaiyo angejitahidi afanye awezalo ili kukuonyesha nimpya kwako AISEEEEEE angekua mwema sana sababu Mapito yake yangemsahihisha).
 
Ushauri wa kiduwanzi huu ushauri gani huu wanaume tukiacha tumeacha atumrudii mwanamke,uyo mwanamke amecheat afai kabisa. wanaume tukimuacha mwanamke tunamuacha solemba mana wako wengi sasa ww uendelee na mwanamke wa dizain hii wa nini piga chini mazima wanawake wapo wengi sana...
 
Duuuuhhhh aiseee
 
Duuuuhhhh aiseee
Usiruhusu mwanamke akutawale yani unakuta dume zima lina mlilia mwanamke aiseee mm uwa nakerekwa sana na wanaume wanao walilia wanawake yani unatoa chozi kwa mwanamke eti kisa akutaki unalia aisee ukiwa karibu na mm naweza nikakuzaba makofi mana una tuaibisha sisi wanaume yani tunavowabuluza wanawake na kuwaendesha kuwapelekesha pelekesha kama magari mabovu ww una walilia ni uduwanzi kiukweli mwanamke usimrusu akujue ww undani wako na usimrusu akutawale uwo ni upumbavu mwanaume lazima uwe na misimamo na c kupelekeshwa pelekeshwa ukitingishwa kidogo tu na mwanamke unanza pagawa lialia uchoko uwo.....
 
Duuhh mkuuu ,,sijawahi Lilia mwanamke wala haitokuja Lilia mwanamke kwasababu ninadharau alafu ninauhakika wakua na mwanamke ninayeona ananifaaa.


Kinachoongelewa hapa sio kulilia mwanamke ,,, Bali ni kumpa nafasi au kutompa nafasi !.... Kama karudi maana yake sasa ndo amejua wewe ndio MTU sahihi kwake . sasa kumsamehe au kutomsamehe ni juu yako wewe.

As for me daaahhhhhh brother ninadharau mbaya sana yaaan Nikisha acha nmeacha nahaitokaaa nikuache alafu nikurudie !!!.

N.b mtoa maada ,,kakimbiwa !!! Wala hakuacha yeye....mwanamke alokukimbia kisha akarudi Basi kunakila sababu yakuangalia km umpe chance au lah!.


All in all ,,kama huna uhakika wakumpata mwanamke .Basi make sure huongozwi na Chini maana utajikuta unapiga punyeto miezi kadhaa ivi

Unajua ukweli nihuuu wanawake niwengi sana ,,licha yawao kua wengi ila mpaka umpate mmoja wakukuvulia chupi ,mmoja wakukupa kampani sahihi yamaisha huchukua muda mwingi.
Unless km unazungumzia wale wakununua usiku.
 
Jahahaha..! Huyo shosti yenu ana akili mbovu zilizotukuka.
 
Hahaha
 
Kadri umri unavyoenda, akili inakaa vizuri
 
Huyo siyo kabisa hafai kuwa mke. Ungemwambia endee tu na huyo jamaa yake wakatafute maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…