Alikuwa na kadi ya chama gani huko upinzani na aliirudisha lini akachukua ya ccmShaur yao nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali yake Karibuni Norway tule maisha hapa View attachment 1545009
Ngoja nikuulize, hoja zilezile alizozisimia Gwajima dhidi ya Pengo leo hii yuko ccm, anaweza kuzisimamia vilevile?
Aliambatana na LowasaTangu lini Gwajiboy akawa mnazi wa upinzani?
Ni mambo gani tangible aliyofanya akiwa upinzani?
Nadhani utakuwa mgeni wa siasa. Yaani unashangaa upande mmoja kuushambulia upande mwingine kwa kuwa tu anayeshambuliwa aliwahi kusifiwa?...Kitendo kile kilifurahisha sana wapinzani waliokuwa wanategemea viongozi wa dini kufikisha kilio chao serikalini. Leo wapinzani mkimshambulia Gwajima nitashangaa sana au kisa yuko upande wa pili?
Kumpeleka Lowassa Chadema.Tangu lini Gwajiboy akawa mnazi wa upinzani?
Ni mambo gani tangible aliyofanya akiwa upinzani?
Mbona umeshajijibu mkuu. Aliyebadili msimamo ni Gwajima, hoja yako ingekuwa na mashiko kama hao wapinzani wangemfuata Gwajima huko alikokimbilia. Wewe ni Gamba tu.Kweli naamini mpinzani mpinzani tu,hata anaweza kupingana na mama yake kuhusu baba yake halisi.
Mimi sio mwanasiasa,sina chama ni staff. Tujikumbushe Gwajima alikua wapi wakati anamshambulia mzee Pengo,katika utawala wa Kikwete Gwajima alikua mnazi haswa wa upinzani. Kilichofanya amshambulie Pengo ni kwenda kinyume na makubaliano ya maaskofu wote Tanzania.
Kilikaa kikao kuhusu waraka mzito kwenda kwa serikali iliyokuwa chini ya JK baada ya kuafikiana ikaonekana askofu Pengo ni msaliti ndipo Gwajma akamchana live.
Kitendo kile kilifurahisha sana wapinzani waliokuwa wanategemea viongozi wa dini kufikisha kilio chao serikalini. Leo wapinzani mkimshambulia Gwajima nitashangaa sana au kisa yuko upande wa pili?
Kwa hiyo ni mfuasi wa Lowasa na kamwe hakuwa mpinzaniAliambatana na Lowasa
Hilo lipo wazi.Kwa hiyo ni mfuasi wa Lowasa na kamwe hakuwa mpinzani
Inasikitisha sanaYani Gwajima alimshambulia Pengo,wapinzani wakafurahia kwa kitendo hicho cha Gwajima kwa maana kilikuwa sahihi na hawakumuona kama Gwajima ni mnafki tu. Ila sasa wapinzani hao hao wanatumia kitendo kile kile cha Gwajima(walichokisifia) kumshambulia Gwajima.