Mimi siangalii bikra hata kidogo!

Nilipata demu shepu kwel umbo namb nane bikra hana nikamwambia msimamo wang oooh nikimove on nimemove baad ya mwez nakuta wanapaga wakutane na ex wake
Sheria ni moja OA BIKRA utagogewa matund yote.
 
Nilipata demu shepu kwel umbo namb nane bikra hana nikamwambia msimamo wang oooh nikimove on nimemove baad ya mwez nakuta wanapaga wakutane na ex wake
Sheria ni moja OA BIKRA utagogewa matund yote.
Mkuu kuoa bikra sio tiketi ya kutogongewa mi nina ushahidi kuna mdada nilikutana nae kwenye daladala natokea Igoma kwenda mjini nikamuelewa nikaomba namba, nilifanikiwa kumjaza kwenye 18 zangu sasa wakati wa mzagamuano nikajua huyu siyo mzoefu kumuuliza, anadai mimi ndio mwanaume wa pili kulala nae, wa kwanza ni mume wake na wameoana mwaka jana mwez wa 11 na alikuwa bikra na mimi namchakata kila nikihitaji na anataka nizae nae, kwahiyo hoja sio kuoa bikra bali ni akili tu ya mwanamke mwenyewe.
 
umenena kwel bikra sio kigezo, ila tunachoagalia nani wa kwanza maana hata kama akianza umalaya umemfunza wewe.
 
Huyo alikupanga alikusoma akajua wewe wa kuja.

Kwahiyo ulitarajia alikuwa na wanaume 70 kabla yako siyo?

Hiyo ni gear ya wanawake walio wengi kila wanapokutana na mwanaume kwakuwa hana bikra lazima aseme alipita mwanaume mmoja pekee.
 
Hapana mkuu nimefanya utafiti nimejiridhisha hata kupitia kwa mume wake kathibitisha hilo na nimelijua kupitia maongezi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…