Mimi nipo tofauti labda je wewe??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ebu twambiane mwana JF mwenzangu mimi katika swala la mahusiano mimi hupenda vitu hi hapa:-
>Demu Bomba ambae nikitoka naye sijihisi kuwa na mapungufu!
>Demu muelewa asiyetaka kunitawala mawazo yangu ila anaweza kunipa ushauri siyo kulazimisha vitu kutokana na matakwa yake.
>demu awe wakujiweza siyo basi hata maji kilimanjaro hawezi kununua!
>Tukiingia Taifa kitu kiwe na mshiko
>Kitu kisiteme
>Rangi ya Mpira iwe nyeusi ndani pinksh!
>Ajue kucheza Dakika za nyongeza na chenga azijue siyo yeye nikukaa kama gunia la vitungu hapana.
>Juu Asiwe kama anatoa tender Jeshini.
Mwisho hata nyinyi mademu mnaweza kueleza nikipi kina wafurahisha kwa makaka!
 
Back
Top Bottom