Mimi nimemaliza secondary 2010 naweza pata chuo cha afya cha serikali ?

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Ufaulu wa wangu huu hapa.

Physics= C
Chemistry=C
Biology=D
English language=C
Civics=B
Kiswahili=D
Geography=D
History=D
B/math=F

Mwaka niliomaliza 2010

Je ? Nitaweza kupata chuo cha serikali kwa kozi ya certificate of medicine or certificate of pharmaceutical science ? Nahitaji kusoma vyuo vya serikali maana ndoo uwezo wangu wa kujilipia unakomea hapo
 
Kwani ulikua wapi siku zote?
Bado unaweza usiwaze tuu serikali tafuta na private Mungu pengine atakufanyia kitu
 
Back
Top Bottom