Mimi ni mwanafunzi wa Chuo, nipo mwaka wa 3! Natafuta kazi yoyote

watoto weng hawajui hesabu..fanya kuwa fursa hyo
Asante mkuu kwa ushauri ndugu. Changamoto ninayoipata ni kupata zile tuition centers, au hata shule ya kufundisha hayo masomo coz baada ya kumaliza six nilifundisha hayo masomo kuanzia form one hadi six pale musoma ila kwa hapa Dar bado napata shida ya kupata connection itakayoniwezesha kupata hiyo nafasi, maana najua nikipata tu basi uwezekano wa kuendeleza au hata kuja kuanzisha tuition center yangu haitokuwa shida mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kuangalia tu ww una asili ya uvv..shule zote hizo dar...mie nimekaa dar 1 month..kuna katoto nikawa naishi nako kao form1..hakajui kbs hesabu.nikaanza kukafundisha kila siku nkitoka kwenye mishe.kifup akawaleta wenzake wa4.ww unashindwa nn kutafta?tena masomo ya science unalamba bingo.fanyia hapo hpo unapoishi...tafuta denti 1 mfundshe ataleta na wengine
 
Asante mkuu kwa. Nitalifanyia kazi kadiri ya uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia dogo. Wewe jitolee bure kukafudisha katoto kamoja. Chagua kavulana ili usionekane una interest tofauti. Kisha baada ya siku kadhaa unakaambia kama kuna wenzake waje pia. Wakishakuwa wengi....nenda shule ya serikali mtafute mkuu wa shule....au mwalimu mkuu. Akuazime/kikodishe darasa 1 tu. Pambana kupata shule iliyo sehemu nzuri. Unaweza fanya pindi jero tu. Pindi la maana. Yangu ni hayo.

Sent using my Nokia Torch
 
Mkuu nimekusoma sana. Asante sana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Na mm nilitaka kumwambia aanze na boys😊
 
Hakuna ugumu ht kidg..mie ningekuwa nabarikiwa kufundisha ningepata wengi bsana..sema sina upenzi huo zaidi ya kupenda tu hesabu
Vizuri,tengeneza partnership soko lipatikane,mtoa mada aje afanye kipindi.Mgawane salio
 
Acha papara na tamaa za kimaisha kijana ,soma kwanza hayo mengine yatafuata baadaye.
 
Nenda pale mwenge mapambano Kuna tuition centres nyingi sana,ukijieleza vizur watakuelewa tu na watakupima uwezo wako Kama unajua.
Otherwise labda uwe kilaza ndio watakunyima kufundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…