Mimi ni mwanafunzi wa Chuo, nipo mwaka wa 3! Natafuta kazi yoyote

watoto weng hawajui hesabu..fanya kuwa fursa hyo
Asante mkuu kwa ushauri ndugu. Changamoto ninayoipata ni kupata zile tuition centers, au hata shule ya kufundisha hayo masomo coz baada ya kumaliza six nilifundisha hayo masomo kuanzia form one hadi six pale musoma ila kwa hapa Dar bado napata shida ya kupata connection itakayoniwezesha kupata hiyo nafasi, maana najua nikipata tu basi uwezekano wa kuendeleza au hata kuja kuanzisha tuition center yangu haitokuwa shida mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuangalia tu ww una asili ya uvv..shule zote hizo dar...mie nimekaa dar 1 month..kuna katoto nikawa naishi nako kao form1..hakajui kbs hesabu.nikaanza kukafundisha kila siku nkitoka kwenye mishe.kifup akawaleta wenzake wa4.ww unashindwa nn kutafta?tena masomo ya science unalamba bingo.fanyia hapo hpo unapoishi...tafuta denti 1 mfundshe ataleta na wengine
 
Asante mkuu kwa. Nitalifanyia kazi kadiri ya uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia dogo. Wewe jitolee bure kukafudisha katoto kamoja. Chagua kavulana ili usionekane una interest tofauti. Kisha baada ya siku kadhaa unakaambia kama kuna wenzake waje pia. Wakishakuwa wengi....nenda shule ya serikali mtafute mkuu wa shule....au mwalimu mkuu. Akuazime/kikodishe darasa 1 tu. Pambana kupata shule iliyo sehemu nzuri. Unaweza fanya pindi jero tu. Pindi la maana. Yangu ni hayo.

Sent using my Nokia Torch
 
Mkuu nimekusoma sana. Asante sana ndugu.

Na mm nilitaka kumwambia aanze na boys😊
 
Hakuna ugumu ht kidg..mie ningekuwa nabarikiwa kufundisha ningepata wengi bsana..sema sina upenzi huo zaidi ya kupenda tu hesabu
Vizuri,tengeneza partnership soko lipatikane,mtoa mada aje afanye kipindi.Mgawane salio
 
Binafsi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo, nachukua Bachelor of Science in industrial engineering. Kwasasa nipo likizo na nilikuwa naomba kazi yoyote ile itakayopatikana iwe ya kitaaluma au isiyo ya kitaaluma, lakini pia nipo tayar kufanya as full time job ndani ya likizo hii ila as a part time job baada ya kufungua chuo.

UWEZO NA UZOEFU WANGU.

1. Kufundisha physics na mathematics kuanzia form one hadi form six.

2. Ucheshi.

3. Kujiamini.

4. Kusimamia semina na makongamano mbalimbali.

5. Uandaaji wa ripoti za kikazi.

6. Uwezo wa kutumia computer.

7. Kuongea na kuandika kiingereza na kiswahili.

8. Uwezo mzuri wa kuwasiliana na watu pamoja na kusimamia biashara na shughuli zingine.

9. Uwezo wa kufanya kazi ngumu yoyote. Kwa mfano ujenzi, uchimbaji na ubebaji wa mzigo.

10. Uwezo wa kusimamia na kuongoza watu kuanzia mia tatu.

Napatikama ubungo Dar es salaam, kwa mawasiliano 0752026992.

Kwa kazi zitakazohitaji CV, ipo tayari na muda wowote kazi itakapopatikana naweza ituma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha papara na tamaa za kimaisha kijana ,soma kwanza hayo mengine yatafuata baadaye.
 
Asante mkuu kwa ushauri ndugu. Changamoto ninayoipata ni kupata zile tuition centers, au hata shule ya kufundisha hayo masomo coz baada ya kumaliza six nilifundisha hayo masomo kuanzia form one hadi six pale musoma ila kwa hapa Dar bado napata shida ya kupata connection itakayoniwezesha kupata hiyo nafasi, maana najua nikipata tu basi uwezekano wa kuendeleza au hata kuja kuanzisha tuition center yangu haitokuwa shida mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pale mwenge mapambano Kuna tuition centres nyingi sana,ukijieleza vizur watakuelewa tu na watakupima uwezo wako Kama unajua.
Otherwise labda uwe kilaza ndio watakunyima kufundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom