Madam Shakila
Member
- May 21, 2022
- 10
- 6
KimyaJamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y.
Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi.
Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza kidato cha nne 2016.
Sasa rudisheni watu waombe kupitia nacte mfumo huu siuelewi. Na wengine wengi hawaujui uko kisirisiri sana serikali irudishe maombi hayo nacte isijikite katika kukusanya Mapato
Niwe afisa elimu kataUnajiendeleza ili uende wapi?
Ukiwa afisa elimu kata mshahara wako utaongezeka kwa kiasi gani?Niwe afisa elimu kata
Omba vyuo binafsi ukasome Madam Shakila. Halafu tuwasiliane haraka ili nikupitishie hiyo barua yako. Usiseme hunifahamu! Mimi ni DSEO wako.Niwe afisa elimu kata
Nataja vyuo vya serikali mkuuOmba vyuo binafsi ukasome Madam Shakila. Halafu tuwasiliane haraka ili nikupitishie hiyo barua yako. Usiseme hunifahamu! Mimi ni DSEO wako.
Si unakumbuka ni wiki chache tu nilikuja hapo shuleni kwenu kuwahamasisha walimu wenye Astashahada kama wewe kwenda kujiendeleza? Tuko pamoja Mwalimu.
Ili TGHS iongezeke siunajua lile jambo lao lipo.Unajiendeleza ili uende wapi?
angalia nime ku-PMJamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y.
Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi.
Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza kidato cha nne 2016.
Sasa rudisheni watu waombe kupitia nacte mfumo huu siuelewi. Na wengine wengi hawaujui uko kisirisiri sana serikali irudishe maombi hayo nacte isijikite katika kukusanya Mapato
Nimekujibuangalia nime ku-PM