Madam Shakila
Member
- May 21, 2022
- 10
- 6
Jamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y.
Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi.
Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza kidato cha nne 2016.
Sasa rudisheni watu waombe kupitia nacte mfumo huu siuelewi. Na wengine wengi hawaujui uko kisirisiri sana serikali irudishe maombi hayo nacte isijikite katika kukusanya Mapato