A man without a degree nowadays .... you'll certainly remain unmarried .... Mungu wangu ingilia kati hawa "viumbe" wabadiri mtazamo. TUSIO NA DEGREE TULIE TUMimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Haya Dada piga sana goti utapata.Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
wat if amebreak up na mtu kipindi hicho kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake??28 -33 mwanaume aliyesingle hana mchumba?? jihadhari nae atakua na matatizo uyo
unajidanganyaMimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
Uliokuwa nao wameenda wapi..? Mpaka umeamua kubandika tangazo wanakuja kupitia hili tangazo wawe makini utakuwa una matatizo sanaMimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
🤣itakua alipata na sasa bado jimbo lipo waziulipata?
au nikupm😄