Christopher Adamu Kibona
Member
- May 2, 2017
- 6
- 2
Jamani mimi ni mgeni humu ndani hivyo nahitaji ukaribu wenu.
Hahaaaaaahebu leta vyeti vyako kwanza maana hili jukwaa silo haujui kusoma.?
Kweli aisee, alidhani FB.Karibu ila ume ingia choo cha mchina kaka ungeenda jukwaa jingine sio hili
Utokea wap?Jamani mimi ni mgeni humu ndani hivyo nahitaji ukaribu wenu.