dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,332
- 1,375
Wakuu Sana.
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa mabandiko ya wazee wangu "naamini wazee kwa Busara zao"
1. Mag3
2.Nguruvi3
3.TUJITEGEE
Sasa gafla naona wamesimama kubandika mabandiko yao pale UWANJA WA KIMATAIFA.
Naomba mjue kijana wenu siku aipiti bila kusoma mabandiko yenu japo tuu ndio siwezi kupost kule nadhani ni sababu ya kutotimiza vitego.
Nawaomba muendelee kutupa ufafanuzi, probably mnaniandaa kutake over kama mtazeeka.
Tusemezane.