Mimi ni doctor natafuta girlfriend

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
Habari za usiku wana Mmu. Mimi ni Daktari mwanafunzi Chuo cha udakitari Bugando. Natafuta girlfriend awe na umri wa Miaka 18 hadi 24. Mawasiliano zaidi namba yangu ni 0652776485. Picha yangu ni Pm nitakutumia. Awe mrembo na awe na Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
 
Kaka mbona bugando apo kuna maduu wa ukweli wa kila aina na rangi mpaka uje uku,
 
Nawewe daktari mtarajiwa??? wonders shall never end ' in naija voice'
 
Warembo Mukuje dokta anawaita ukuuu!
 
Madokta si mmefungiwa na serikali? Kwa sababu ya albino
 
Unatoa kiasi gani kwa dalali?

 

buku kwanza mkuu.nwau kila la kheri
 

Kumbe Bado Hata Hujawa Doctor Sasa Unachohangaika Ni Nini? Soma Kwanza Kijana Hawa Totoz Wapo Tu Hawaishi. Mwisho Naomba Kukuuliza Je Daktari Mtarajiwa Mwanamke Mrembo Kwako Wewe Ni Yupi au Aweje? Fafanua Nikusaidie.
 
Kumbe Bado Hata Hujawa Doctor Sasa Unachohangaika Ni Nini? Soma Kwanza Kijana Hawa Totoz Wapo Tu Hawaishi. Mwisho Naomba Kukuuliza Je Daktari Mtarajiwa Mwanamke Mrembo Kwako Wewe Ni Yupi au Aweje? Fafanua Nikusaidie.

Mzuri wa sura, tabia na mwenye.kujielewa.
 
''Mimi ni Daktari mwanafunzi Chuo cha udakitari Bugando''.... Hii sentensi itakukosesha mke, Wanawake wa siku hizi wanapenda watu wanaonyoosha maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…