Mimi ni CUF mpaka kufa sasa

Makaimati

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
462
Reaction score
87
Mimi ni CUF mpaka kufa sasa

Posted on May 24, 2011 by zanzibaryetu





Mmoja wa wanachama wapya wa Chama Cha Wananchi (CUF) akionesha kadi yake baada ya kujiunga rasmi na chama hicho muda mfupi baada ya kufunguliwa tawi la chama hicho katika jimbo la Donge wiki hii, jimbo lenye upinzani mkubwa kwa vyama vyengine vya siasa. Mwanachama huyo ni miongoni mwa wanachama 105.jimbo la Mwakilishi wa muda mrefu Ali Juma Shamhuna ambalo limekuwa likilalmikiwa kwa muda mrefu kutoana na kuminywa demokrasia kwa kuwanyima fursa vyama vyengine kuendesha shughuli zake katika jimbo hilo. CCM ndio pekee waliokuwa wakiruhusiwa kufanya mikutano yake ndani ya jimbo hilo.
 
hongera zake afadhali katoka MAGAMBANI!
 
mtu mmoja,kwani cuf ni waislam?at least hata jimboni kwa shamhuna
 
Kama ametoka CCM akaenda CUF hakuna alichofanya.
Nisawa na kutoa kitu mfuko wa kulia wa suruali kuhamishia mfuko wa kushoto.
 
Safi sana kuikataa ccm ni hatua muhimu kuelekea kuwa huru.
 

Sioni tofauti ya CUF na CCM!
 
ni sawa na kuhama mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine
 
CUF si lolote kwani ni CCM ileile, mala zote ungesema hata TLP au chama kingine, fanya hima kabla hujafa uhama hukoπŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:
 
CUF zamani bwana lakini leo CCM na CUF sawa na shati na vifungo hawatokani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…