ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,399
Mwandiko wako tu unatoa hukumu. Labda kama unarusha dongo kwa mwajina wako Chattle BeerNimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana mapungufu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina mapungufu yoyote,sifanyi makosa kwa uzembe,nafuata kanuni zote za afya Bora mfano nazingatia ulaji mzuri na wa kiasi ,Nina imani thabiti,natambua uhitaji wangu wa kiroho,najua kuzungumza vizuri,Sina mazoea mabaya,napenda Sana watu na ndo maana Nina furaha sana .sina kasoro hata moja.mnaosema nobody is perfect mlikosea mlidhani sote tuko sawa Kuna wengine hatujui roho mbaya Ni kitu gani,mwenzenu kila nalolifanya Ni Bora.Mimi huyo nawatakia jumamos njema.ndo nishamaliza
Kwanini unafikiri ningeweza kumzungumzia mtu mwingine?nimesema ukweli mtupu kunihusuMwandiko wako tu unatoa hukumu. Labda kama unarusha dongo kwa mwajina wako Chattle Beer
Nimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana madhaifu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina mapungufu yoyote,sifanyi makosa kwa uzembe,nafuata kanuni zote za afya Bora mfano nazingatia ulaji mzuri na wa kiasi ,Nina imani thabiti,natambua uhitaji wangu wa kiroho,najua kuzungumza vizuri,Sina mazoea mabaya,napenda Sana watu na ndo maana Nina furaha sana .sina kasoro hata moja.mnaosema nobody is perfect mlikosea mlidhani sote tuko sawa Kuna wengine hatujui roho mbaya Ni kitu gani,mwenzenu kila nalolifanya Ni Bora.Mimi huyo nawatakia jumamos njema.ndo nishamaliza
Kwa kutotambua hauna mapungufu NDIO upungufu wako.Nimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana madhaifu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina mapungufu yoyote,sifanyi makosa kwa uzembe,nafuata kanuni zote za afya Bora mfano nazingatia ulaji mzuri na wa kiasi ,Nina imani thabiti,natambua uhitaji wangu wa kiroho,najua kuzungumza vizuri,Sina mazoea mabaya,napenda Sana watu na ndo maana Nina furaha sana .sina kasoro hata moja.mnaosema nobody is perfect mlikosea mlidhani sote tuko sawa Kuna wengine hatujui roho mbaya Ni kitu gani,mwenzenu kila nalolifanya Ni Bora.Mimi huyo nawatakia jumamos njema.ndo nishamaliza
Kuandika mada hii ni mapungufu toshaNimekuwa nikisikia sikia Huku na huko kwamba kila mwanadamu ana madhaifu yake aidha ya kimwili,au kiakili au kitabia.kwangu Mimi Ni tofauti Sana kwani nimejichunguza kwa muda mrefu nimejijua Sina mapungufu yoyote,sifanyi makosa kwa uzembe,nafuata kanuni zote za afya Bora mfano nazingatia ulaji mzuri na wa kiasi ,Nina imani thabiti,natambua uhitaji wangu wa kiroho,najua kuzungumza vizuri,Sina mazoea mabaya,napenda Sana watu na ndo maana Nina furaha sana .sina kasoro hata moja.mnaosema nobody is perfect mlikosea mlidhani sote tuko sawa Kuna wengine hatujui roho mbaya Ni kitu gani,mwenzenu kila nalolifanya Ni Bora.Mimi huyo nawatakia jumamos njema.ndo nishamaliza
Kama loteRinda unalo ?
mulemule...kwa kuwa Ndego John pekee ni tahiraMwandiko wako tu unatoa hukumu. Labda kama unarusha dongo kwa mwajina wako Chattle Beer
huyu nyani analiona na kulibusuWanasema Nyani Haoni Kundule