:A S-alert1:jamani, nashukuruni sana kwa mapokezi yenu! nimefurahi sana kwa kunikaribisha hapa, na pia nitawaheshimu wote! hapa hakuna cha shemeji shemeji huku ukizima taa! ni urafiki tu! na si vinginevyo! nawapenda wote na nitaonyesha heshima kwa wote! hawe mkubwa au mdogo kwangu!
Namalizia kwa kusema Asante sana marafiki zangu kwa mapokezi yenu!