Nakuchukia sana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 592
- 1,163
ndoa gani saiv n uhun na kutorokaKumbe bado huna watoto basi utakuwa under 25 wewe bila shaka acha kuwaza ndoa bado kwa hali yako hio hata kama ndoa ingekuwa haina shida bado hupaswi kuingia
Sawa sijakataa kweli kuna shida kwenye ndoa ila sio topic za level yako wewe bado unatakiwa ku discuss mambo mengine tu ya maarifa,burudani,technology na siasa kidogondoa gani saiv n uhun na kutoroka
Wazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.Nitafuta watoto wangu n walee mwenyewe,maana sitaki ndoa na sitak usumbuf.Ila mademu ntaish nao ila sio ndoa
Hawa ndiyo wanatafutwa na dada Gwajima maana anasema atazaa sijui hao watoto watapita wapiWazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.
Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.
Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!
MENEMENE TEKERI NA PERESI.
watoto na watafuta kutoka mwanamke,ila watoto na wachukua na walea kivyangu na fanya uhunWazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.
Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.
Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!
MENEMENE TEKERI NA PERESI.
Kazi kweli kweli 😂.Hawa ndiyo wanatafutwa na dada Gwajima maana anasema atazaa sijui hao watoto watapita wapi
Nikadhani unawazaa mwenyewe!watoto na watafuta kutoka mwanamke,ila watoto na wachukua na walea kivyangu na fanya uhun
Hata GENTA? 🤔🤔mzalishe mtu
Hata GENTA? 🤔🤔
Hahaha 😂.Mkuu naona unataka nichonganisha na GENTA! 😁
Kwenye post yake amemaanisha atazalisha na kuwalea watoto peke yake, meaning atawapatia wanawake mimba with no strings attached.Wazaramo wanasema "Inda la bigalo navina mwana", wakimaanisha kuwa 'tumbo la mwanaume halitoi/halizai mwana'.
Sasa sijui wewe mtoto wa kiume utawazaaje hao watoto unaowataka.
Hebu nifafanulie kidogo nami nitambue!
MENEMENE TEKERI NA PERESI.