Kama ni mambo ya manabii, hata humu jf tunao manabii kibao, TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!.Mimi nasubiri manabii tu waongee! Juzi kati nilishawahi kuanzisha uzi humu wa power tuliyonayo kuprophesy. Martin Luther King Jr alikuwa katikati ya written speech akaanza kuprophesy maneno ambayo leo mnaita 'I have a dream speech'.
Credit to TL, aliprophesy kwamba 'mkiendelea kukaa kimya, wakimalizana na sisi wataamia kwenu' (siyo nukuu ya neno kwa neno).
Kama mnataka nchi hii ibadilike kisiasa, kiuchumi, kiimani, kijamii, acheni kulalamika, PROPHESY!
Kama ni mambo ya manabii, hata humu jf tunao manabii kibao...........
Paskali
Umeshauri watu waache kulalamika, sasa wafanye nini?.
Paskali