Mimi nafurahi kusikia na kuona Yanayotukia sasa. Ni wakati wa Upinzani kuacha kudandia yasowahusu mpaka kufikia Kukejeli wenye CCM yao.

Mimi nafurahi kusikia na kuona yanayotukia.! Maana kipindi kile anaanza watu wakasema anawakomesha praise team ya Mwendazake, kwa hiyo wao wakajipa umuhimu kwa mtu asiewahusu. Wacha wanyooshwe, mpaka wajue nini wanasimamia.
Hii iwe work up call kwa upinzani na wapenda maendeleo na mabadiliko wasiojihusisha na CCM.
Yaani mtu from chama kile kile uongozi ule ule mlioulalamikia eti leo anakuwa mzuri kwa mambo machache alofanya tena within short term.
Bora hata ingekuwa kuna interval kidogo you can celebrate otherwise ilikuwa ni kujilisha upepo.
Nasema hivi wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Nadhani hata huko Mwanza hakuna kitu wananchi watafanya maana hawajawahi kuwa na msimamo mmoja. Na leo inaenda kuwa siku ya mwisho kukutanika kisiasa.
Vinginevyo huenda Mbowe ni kada mtiifu wa CCM.

Eid Njema.
Ujinga wa kitanzania kabisa!
 
Umemuona KIKWETE ALIVYO NENEPA MARA TU BAADA YA KIFO CHA MAGUFULI !? NA BAADHI YA MAWAZIRI WAMENENEPA GHAFLA ili linafikilisha sana ,tz itakwenda mbele au kirudi nyuma
 
Hakuna lolote...!
Kuwe na usawa tu.
 
Mimi nafurahi kusikia na kuona yanayotukia.! Maana kipindi kile anaanza watu wakasema anawakomesha praise team ya Mwendazake, kwa hiyo wao wakajipa umuhimu kwa mtu asiewahusu. Wacha wanyooshwe, mpaka wajue nini wanasimamia.
Hii iwe work up call kwa upinzani na wapenda maendeleo na mabadiliko wasiojihusisha na CCM.
Yaani mtu from chama kile kile uongozi ule ule mlioulalamikia eti leo anakuwa mzuri kwa mambo machache alofanya tena within short term.
Bora hata ingekuwa kuna interval kidogo you can celebrate otherwise ilikuwa ni kujilisha upepo.
Nasema hivi wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Nadhani hata huko Mwanza hakuna kitu wananchi watafanya maana hawajawahi kuwa na msimamo mmoja. Na leo inaenda kuwa siku ya mwisho kukutanika kisiasa.
Vinginevyo huenda Mbowe ni kada mtiifu wa CCM.

Eid Njema.
Uko sahihi kiongozi. Mwenye akili asingeshangilia kupondwa kwa kila kilichofanywa na Magufuli.
Mama ameonesha unafiki wake kwa kiwango cha lami. Amemgeuka hata JK kwa kuwatoa mashekhe akidhani wana wema kwake. Leo hao aliowaona wanastahili huruma wamemgeuka.
Mama amejikaanga kwa mafuta yake.
 
Mimi ndio maana nilikataa tangu mwanzo.
Huwezi kufurahisha kila mtu. Unapaswa kuchagua side uende nao hao. Kutaka kumridhisha kila mtu ndio kuna mkost
 
Mimi nafurahi kusikia na kuona yanayotukia.! Maana kipindi kile anaanza watu wakasema anawakomesha praise team ya Mwendazake, kwa hiyo wao wakajipa umuhimu kwa mtu asiewahusu. Wacha wanyooshwe, mpaka wajue nini wanasimamia.
Hii iwe work up call kwa upinzani na wapenda maendeleo na mabadiliko wasiojihusisha na CCM.
Yaani mtu from chama kile kile uongozi ule ule mlioulalamikia eti leo anakuwa mzuri kwa mambo machache alofanya tena within short term.
Bora hata ingekuwa kuna interval kidogo you can celebrate otherwise ilikuwa ni kujilisha upepo.
Nasema hivi wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Nadhani hata huko Mwanza hakuna kitu wananchi watafanya maana hawajawahi kuwa na msimamo mmoja. Na leo inaenda kuwa siku ya mwisho kukutanika kisiasa.
Vinginevyo huenda Mbowe ni kada mtiifu wa CCM.

Eid Njema.
??
giphy.gif
 
Utakuwa mchawi wewe..
 
Back
Top Bottom