roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,886
Shukrani mkuu Kwa data hiziRussia-Tanzania In 2021, Russia exported $161M to Tanzania. The main products that Russia exported to Tanzania are Wheat ($100M), Nitrogenous Fertilizers ($26.5M), and Semi-Finished Iron ($7.79M).
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
PoaShukrani mkuu Kwa data hizi
Sio kweli, Mbolea nyingi zinazotumika Tanzania zinalishwa KenyaYaani ukiamka asbhi ukala chochote kitokanacho na ngano ni murusi ukiona mazao yamestawi huko vijijini jua mbolea ya mrusi kwa kifupi uhai wako ameushika
Maana msosi ndio msingi
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Russia-Tanzania In 2021, Russia exported $161M to Tanzania. The main products that Russia exported to Tanzania are Wheat ($100M), Nitrogenous Fertilizers ($26.5M), and Semi-Finished Iron ($7.79M).
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Zaidi ya app ya telegram,hakuna kingineWatanzania wa kawaida kama mm ,wewe na yule tunatumia bidhaa Gani kutoka urusi!?
Mitumba ya nguo inatoka western Europe. Mitumba ya fridge, pasi, tv, radio, phone ni kutoka western Europe.
Magari ni western, Asia, USA nk.
Madukani ni Asia yani China, Pakistan, India, Bangladesh, n.k.
Sasa Urusi vipi?
Nani kawakataza kutengeneza nguo mpaka mvae nguo zilizotupwa na watu wengine (Kafa Ulaya Mazishi Afrika).Hizo bidhaa kutoka Russia ni MTUMBA ??!!, manake Watz kwa kuhusudu mitumba kutoka west Europe hatujambo.😀😀
Uislam umeingiaje hapa?Hitimisho hakuna muislam anaweza ona lolote zuri toka kwa Marekani maana wao wanaamini kuwa mwarabu ni ndugu yao na Marekani ana ugomvi na ndugu yao
mkuu unaweza kuthibitisha juu ya hilo la waislam wote duniani kuwachukia wamarekani
Watu weusi wanaishi Urusi wanakuambia ukitembea mtu moja mweusi ni hatari kunaubaguzi wa rangi sana wanatembea makundi.Watanzania wa kawaida kama mm ,wewe na yule tunatumia bidhaa Gani kutoka urusi!?
Mitumba ya nguo inatoka western Europe. Mitumba ya fridge, pasi, tv, radio, phone ni kutoka western Europe.
Magari ni western, Asia, USA nk.
Madukani ni Asia yani China, Pakistan, India, Bangladesh, n.k.
Sasa Urusi vipi?
hao ndo wenye mawazo mgandoUislam umeingiaje hapa?
Watanzania wangapi wanakula hiyo ngano, wewe mwenyewe hapo unashindia chai ya rangi na mihogo au viazi au sana sana vitumbua au uji.Yaani ukiamka asbhi ukala chochote kitokanacho na ngano ni murusi ukiona mazao yamestawi huko vijijini jua mbolea ya mrusi kwa kifupi uhai wako ameushika
Maana msosi ndio msingi