mimi na wewe nani ni mpumbavu!!!!!!

mimi na wewe nani ni mpumbavu!!!!!!

Robert PR

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
591
Reaction score
57
1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]

3. Kupanda daladala ili upate kick ya kisiasa #Huo NdioUpumbavu

4 Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM #Huo NdioUpumbavu

5. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja. #Huo NdioUpumbavu

6. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani. #Huo NdioUpumbavu

7. Kutengeneza CCM B ya wezi waliofukuzwa CCM halisi na kuiita Upinzani #Huo NdioUpumbavu
 
na hata kuzaliwa ww kuja hapa duniani huo ni upumbavu
 
Kuweka post na kujijibu mwenyewe huo ndio upumbavu
 
Ccm mna akili ndogo kama za panya.

Mheshimiwa rais Lowassa kupanda daladala inawauma sana wakati juzi mgombea urais alipanda ngazi za gorofa ya tume mkaja kumsifia hapa,hio haikua kick ya kisiasa.

Ccm kichani mmebeba mavi au akili?.
 
Ccm wamepanic,ila ukawa tuendelee kukaza kamba mpaka wafrahi mtaani ni lowassa tu magufuli wakanywe naye chai
 
Hakika mkuu ukawa ni wapumbavu haswaa umendika vizuri sana.
 
1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]

3. Kupanda daladala ili upate kick ya kisiasa #Huo NdioUpumbavu

4 Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM #Huo NdioUpumbavu

5. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja. #Huo NdioUpumbavu

6. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani. #Huo NdioUpumbavu

7. Kutengeneza CCM B ya wezi waliofukuzwa CCM halisi na kuiita Upinzani #Huo NdioUpumbavu

Kuleta 'copy and paste' thread ambayo iko hapa hapa jamvini ni Upumbavu zaidi.
 
Back
Top Bottom