mchuzi juu
Member
- May 14, 2026
- 57
- 90
Jamani naombeni nipokeeni mimi ni mgeni lakini mwenyeji pia kwani nilikuwa nafuatilia JF since nipo na kiswaswadu kupitia Opera mini
Karibu sanaJamani naombeni nipokeeni mimi ni mgeni lakini mwenyeji pia kwani nilikuwa nafuatilia JF since nipo na kiswaswadu kupitia Opera mini🤗🤗
Mpwayungu Village ,raraa reree ,
Hakuna mgeni hapo, ID ndiyo ngeni ila huyo ni veteran.Mgeni ujue hadi kutag watu?
Haya karibu mgeni mwenyeji
Ahsante sana hii fursa nimeitafuta kwa muda mrefu maana nilikuwa naona nyuzi za akina Mpwayungu Village since 2017 .. nilivutiwa sana 😅😅😅Mgeni ujue hadi kutag watu?
Haya karibu mgeni mwenyeji
Mm sio mgen kias hichoo km wewe😁😁Karibu sana,naona siku hizi wageni tupo wengi sana
Ooh kumbe hii ni ID yako mpya tuMm sio mgen kias hichoo km wewe😁😁
Mpwayungu Village nilianza kumfaham since nipo na kiswaswadu cha itel ila kuchat nikawa sijuimgeni unamjua mpka mpwayungu alopotea siku mingi
Vutiaa na nyuzi za Mshana JrAhsante sana hii fursa nimeitafuta kwa muda mrefu maana nilikuwa naona nyuzi za akina Mpwayungu Village since 2017 .. nilivutiwa sana 😅😅😅
What is ID 🤭🤭🤗🤗Ooh kumbe hii ni ID yako mpya tu
Ahsante nimekaribia😂😂😂Karibu sana jf
Kutana na poor brain kwa sasa ni wakala wa tomato source..
Nauza tomato lita 5 kidumu unapata kwa shilingi 2500 tuu..
Karibu sana
We kwendra zakoHatukupokei kwa sababu hujalipa ada ya kiingilio
Dah unazingua yaani wala hubadiliki upo vilevile tu kama ID ile tu🤣🤣What is ID 🤭🤭🤗🤗