Mimi kama atheist 🤔

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
59,889
Reaction score
173,100
Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,.

Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini zote ni wa Lutheran baba wa wa protestant 🤔

Asili yangu kwa mama ni mpalestina na baba ni mmatumbi wa kibosho kina Mushi, kabisa , hapo ndipo uchunguzi wangu ulipo anza rasmi🤔

Natamani kujua maswali zaidi kuhusu mimi , nanitajibu kiufasaha zaidi
 
Kama umerehu maswali ngoja nianze .

Sasa hivi umeelewa (upo tungi ) au ..?
 
Mama yako Mpalestina wa Kwa Netanyahu Gaza au Buza ?
 
Ilikuwaje baba yako kaoa mtu kutoka Palestina?
Sababu za kutomwamini Mungu ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…