Jagood
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 2,141
- 2,390
Wana JF kuna jambo huwa najiuliza Mara kwa mara, je kunywa chai hasa wakati wa asubuhi kuna faida gani au ni jambo la mazoea Kama Mimi nilivyozoea kwa wazazi wangu tangu nilipozaliwa/nikiwa mtoto?
Kila niamkapo huwa nasisitizwa kutenga chai/ mtu atenge chai kwa ajili ya familia. Kwa nini isiwe ugali, wali au chakula kingine mbali na chai?
Kila niamkapo huwa nasisitizwa kutenga chai/ mtu atenge chai kwa ajili ya familia. Kwa nini isiwe ugali, wali au chakula kingine mbali na chai?