The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,457
Habari wana jf
Ipo hivi nilikua natumia compture HP g6 pavilion windows 10 sasa windows ikwa ina update kama ujuavyo windows 10 inaa update automatically.
Sasa nikaa update vizuri kabisaa nikwasha PC vizuri ikawaka nikaitumia almost 30mints hivi nikaizima vizuri kabisa
Sasa nilivokuja kuiwasha ikawa Ina load mda mrefu saana nikajiuliza why kuja kugusa processor imepata moto saana
Nikaingia kwenye BIOS setup ikanioyesha HDD ipo pamoja na Ram but haidisplay window inakuja dark screen pia kuleta error yeyote i wala kuonyesha windows na processor ina overheat saaana
Wakuu hapa tatizo ni nini ? Msaada tafadhali
Chief mkwawa na wengine msaada unahitajikaa asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app