Mimi binafsi ningependa Pinda awe Rais

Mimi binafsi ningependa Pinda awe Rais

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Niliwahi kufanya kazi Mkoa wa Katavi, Namuelewa vizuri ni Kiongozi asiye na makuu mi binafsi ningependa awe Mr.President
 
Niliwai Kufanya Kazi Mkoa Wa Katavi,Namuelewa Vizuri Ni Kiongozi Asiye Na Makuu Mi Binafsi Ningependa Awe Mr.President
 
Niliwai Kufanya Kazi Mkoa Wa Katavi,Namuelewa Vizuri Ni Kiongozi Asiye Na Makuu Mi Binafsi Ningependa Awe Mr.President
rais wa chama cha waganga wa kienyeji kutoka sumbawanga
 
No way,he is too weak.He is another version of Kikwete. We don't need another Kikwete to drive us down the cliff completely. Right now we are halfway towards the cliff,thank to Kikwete.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Niliwai Kufanya Kazi Mkoa Wa Katavi,Namuelewa Vizuri Ni Kiongozi Asiye Na Makuu Mi Binafsi Ningependa Wa Mr.Presiden
Watanzania wengi wana akili ya samaki wangejua huyu Pinda ndo mtu wa kuongoza hii Taifa
Ukisema Nchi hii Luna mafanikio kwenye awamu ya nne ujue ni Linda
Kikwete siku zote ni safari, Linda ndo alikuwa mwendeshaji.
Sasa akikabidhiwa usukani anaweza Fanya makubwa
Tunahitaji kiongozi makini kama Linda
 
Niliwai Kufanya Kazi Mkoa Wa Katavi,Namuelewa Vizuri Ni Kiongozi Asiye Na Makuu Mi Binafsi Ningependa Awe Mr.President

Mwaka huu tunataka wataka urais wote wapime Afya .,,sio kusema mmoja mmoja ...Wakati wengine wako kwenye dozi kwa Zaidi ya miaka 20 na wengine Sasa Mwaka wa 10 wanakula dozi
 
Niliwai Kufanya Kazi Mkoa Wa Katavi,Namuelewa Vizuri Ni Kiongozi Asiye Na Makuu Mi Binafsi Ningependa Wa Mr.Presiden

Fanya mpango awe Raisi wa Familia yenu..... Moja kati ya watu wapuuzi duniani Pinda yumo
 
Watanzania wengi wana akili ya samaki wangejua huyu Pinda ndo mtu wa kuongoza hii Taifa
Ukisema Nchi hii Luna mafanikio kwenye awamu ya nne ujue ni Linda
Kikwete siku zote ni safari, Linda ndo alikuwa mwendeshaji.
Sasa akikabidhiwa usukani anaweza Fanya makubwa
Tunahitaji kiongozi makini kama Linda

Huijui katiba kaa kimya
 
Pinda Hamna kiongoz pale, siasa nying sana Yule, ukimsikiliza utasema ni kiongoz anaefaa lakin hamna kitu kbs
 
Mtu anaefikiri nchi itaendelea kwa kufuga nyuki tu!! Hana tofauti na Fisadi Mamvi!!!
 
bado mna imani na ccm ?.
wangepumzika kutawala nchi, maana wakiwa wapinzani wataleta changamoto.
 
baada ya kumaliza na slogan yake ya wapigwe tu itakuja wauliwe tu
 
Niliwahi kufanya kazi Mkoa wa Katavi, Namuelewa vizuri ni Kiongozi asiye na makuu mi binafsi ningependa awe Mr.President

kumb: Nafasi ya UWAZIRI MKUU wake amesema "tupigwe tu".

Nakuhakikishia, akiwa RAISI atasema "WAUAWE TU".
Yaan kat ya watia nia wa urais PINDA ""HAFAI"" hata kidogo. Huyo ana roho ya u-snipe {au ugaidi} atatumaliza watanzania wote.
 
Back
Top Bottom